Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,278
04:13
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee Wangu KumekuchaNimerudisha siraha,sasa naenda kupiga moja baridi! Mitaa ya kidimbwi, pande za benzi beach ya chini huko! Over
Afanda , nawasilishaNapokea silaha alfajiri
Muda rasmi ni 00:00, ingawa ukiwahi siyo vibayaHaya leo nimefika kila eneo la lindo siwaoni mnaanza saa ngapi?
23:45Muda rasmi ni 00:00, ingawa ukiwahi siyo vibaya
Heshima yako mkuuNi saa 12:00 am
19/06/2021.
Mpoo?
Mama la mama.0751
Lindo limefungwa
Tukutane tena baadae.
Siku njema kwenu wote wapendwa.
Macho yangu au si yangu kukuona?[emoji848]Sisi tipo
Love si umeniambia umechoka wataka kulala? Au sio wewe uliniambia..naota labdaMacho yangu au si yangu kukuona?[emoji848]
Ndio nawaza hapa ni ndoto au laah.[emoji6]Love si umeniambia umechoka wataka kulala? Au sio wewe uliniambia..naota labda
Ni mm kipenzi..hakuna ndoto hapoNdio nawaza hapa ni ndoto au laah.[emoji6]