JamiiForums Usiku wa manane
2. Watafiti duniani kote wameshauri binadamu kiafya anatakiwa kulala masaa 7 hadi 9 kwa siku.

Cha kushangaza kuna watu wanaweza kuwa sawa hata kama wakilala kwa muda mchache zaidi (masaa 2,3 au 5)

Ila pia kuna wengine wanahitaji masaa zaidi ya kumi kulala ili kuwa sawa katika majukumu yao vizuri.
 
Back
Top Bottom