Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Unaenda wapi boss mapena yote hii, hata kuku bado hawajaingia ndani.0034
Nakabidhi Lindo
Unaenda wapi boss mapena yote hii, hata kuku bado hawajaingia ndani.0034
Nakabidhi Lindo
Hakika tena wewe ukiwepo ulinzi ni 100%.0052
Lindo liko salama
Usihofu mkuuHakika tena wewe ukiwepo ulinzi ni 100%.
Heshima yako mkuu.
@Da'VinciWalinzi hamjambo, lindo bila popcorn na movie tunalala, Nani humu ni mbobezi wa kuhack Netflix,
Tupo mkuu mdo mdo.2:03
Mupooo
vyema sana kiongozi...tupo pamojaaTupo mkuu mdo mdo.
Unaenda wapi boss mapena yote hii, hata kuku bado hawajaingia ndani.
@Da'Vinci