Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Hunter naona unabebika na jiran yangu raha msalehenaam hunter
Hunter naona unabebika na jiran yangu raha msalehenaam hunter
Poa shemeji yangu mzima wewe?Mambo?
![]()
![]()
jirani aje kutoa maelezo hapa.
Nipo nipo kontena lako la usingizi ulinipa lote
sio kweliDeka udekezweNdio nilienda baby, na nilikuombea pia.
Hujaona leo mambo yako yalivyokuendea vizuri?
Ndio ujue mwenzio nilifanya kazi ya ziada.



Hahahaa kafanya nn sasa..hamna buanaaaNdio kafanya kweli???
Hongera buana
Basi niambie wewe kama sio kile alichoniambia yeye.Hahahaa kafanya nn sasa..hamna buanaaa
Ahahahaaaaaa jamani embu muache jirani yangu sasahivi atasikia usingizKiongozi ni niaje
kitambo humu kwani una kesi gani?
Pole buddy,naona kila kona baba chanja ishakuwa ishu. Sorry bana
Kumbe kuna ma hunter humu?naam hunter
Ndio nilienda baby, na nilikuombea pia.
Hujaona leo mambo yako yalivyokuendea vizuri?
Ndio ujue mwenzio nilifanya kazi ya ziada.
uko sahihi kabisa...Uliniombea vyemaMchana huwa nipo kila kona rafiki ila mida hii ndio bichwa na linakuwa zito kama nimebeba maweHujanizidi mm rafk angu nakuonaga kwa mbali mchana unansalimia kwa like tu![]()

Ndio hunter, kwani si nilishakutambulisha...shemeji yako huyoHunter naona unabebika na jiran yangu raha msalehe
Mambo ya michepuko hayoUsingizi.....jirani yako kasema ulijipatia blanketi chapa mtu ndio maana ulikuwa unalala mapema![]()
![]()





Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Kunijali sio issue,je utaweza kunifundisha kile nilichotaka anifundishe? Una sare ya kunipa nivae kipindi cha mafunzo? Zana za kufundishia unazo?![]()
![]()
![]()
Teh teeeh alikwambiajeee??? Nilikua somewhere hamna networkBasi niambie wewe kama sio kile alichoniambia yeye.
Marhaba...upo wewe??? ulipotelea wapiShikamooo





We njoo huku kwanza![]()
![]()
ati nini?