Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
naam hunterHunter hunter
naam hunterHunter hunter
Hujanizidi mm rafk angu nakuonaga kwa mbali mchana unansalimia kwa like tuGene ya kuku bado ipo leo nimetokea baada na mimi kupotea ila rafiki nilikumiss mno

Wifi angu huyoAsante mpendwa wangu
Sina kesi mashtaka yote yalifungwa maana walikosekana walalamikajiKiongozi ni niaje
kitambo humu kwani una kesi gani?
Ndio wifi angu..miss uWifi angu huyo
Kunijali sio issue,je utaweza kunifundisha kile nilichotaka anifundishe? Una sare ya kunipa nivae kipindi cha mafunzo? Zana za kufundishia unazo?Huyo si mwl hebu njoo huku nitakujali wakati wote

Tunashukuru. Karibu sana nduguNawasalimu humu ndani
Shikamooonaam hunter
Miss you mingi mingi,ulipotelea wapi?Ndio wifi angu..miss u
Tunashukuru. U buheri wa afya wewe?Nawasalimu humu ndani
Pole buddy,naona kila kona baba chanja ishakuwa ishu. Sorry bana12:12
Usingizi.....jirani yako kasema ulijipatia blanketi chapa mtu ndio maana ulikuwa unalala mapema![]()
![]()
jirani aje kutoa maelezo hapa. Sina kesi mashtaka yote yalifungwa maana walikosekana walalamikaji
ati nini?Usingizi tu hamna kingine nilipungukiwa kulala mwilini

Ndio kafanya kweli???
Ahaa sikuoni humu vizuri kama yalisha futwaSina kesi mashtaka yote yalifungwa maana walikosekana walalamikaji
Ndio nilienda baby, na nilikuombea pia.ulienda baby