Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
Cheo ni dhamana, nilikuwa naongea na dada mmoja alisoma naye pale Sambasha primary school kabla hajahamia Serengeti, ambako dingi yake alikuwa anafanya kazi, anasema hata Baba yake alitumbuliwa na alitaka kuuliwa na wananchi wenye hasira kali,akakimbilia ArushaJamani usiku wangu wa manane leo hii ya eid,ni kwamba "Sabaya hayuko hai"View attachment 1783850
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
