financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
Ahsante kwa wimbo wa faraja! Ubarikiwe
Ahsante kwa wimbo wa faraja! Ubarikiwe
Amen. Asante kwa kuwa macho..Ahsante kwa wimbo wa faraja! Ubarikiwe
Ngoja nikuletee birika kabisaNimeingia lindoni mwenye kahawa anisaidie
Naona sina usingizi kabisa leo🤔Amen. Asante kwa kuwa macho..
Naona sina usingizi kabisa leo🤔
Umekunywa Pepsi usiku 🤣Naona sina usingizi kabisa leo🤔
Wala hata sijui tu imekuaje leo😀Umekunywa Pepsi usiku 🤣
Itakua ulilala jioni...Wala hata sijui tu imekuaje leo![]()
Aaah okay.......Wala hata sijui tu imekuaje leo😀
Huenda kesho ukapata mahela mengi 😀😀Wala hata sijui tu imekuaje leo😀
Afu kweli ila nililala kidogo sana sijui nusu saa ile🤭 inaweza kuwa sababu hii?Itakua ulilala jioni...
Amen napokeaa na ikawe hivo maana nilivofulia😀😀 ila nawaza napata from nowhere tu? Mmh😀Huenda kesho ukapata mahela mengi 😀😀
Hata Hajiri, alipokuwa jangwani, alikata tamaa ya kuishi na kumuweka mtoto kwenye kijiti, ili amtazame anavyo kufa kwa kukosa maji. Ila Mungu aliyafumbua macho na kuona chemu chemu ya maji jangwani.. Kwa Mungu yote yawezeka.. kwasababu Pesa na dhahabu ni mali ya Bwana, na vitu vyote alivyoumba 😀😀😀Amen napokeaa na ikawe hivo maana nilivofulia😀😀 ila nawaza napata from nowhere tu? Mmh😀
Huenda kesho ukapata mahela mengi 😀😀
Mi nitakopa ukipata kama utabiri unavyoonyeshaAmen napokeaa na ikawe hivo maana nilivofulia😀😀 ila nawaza napata from nowhere tu? Mmh😀
Ngoja tumpime imani financial servicesHata Hajiri, alipokuwa jangwani, alikata tamaa ya kuishi na kumuweka mtoto kwenye kijiti, ili amtazame anavyo kufa kwa kukosa maji. Ila Mungu aliyafumbua macho na kuona chemu chemu ya maji jangwani.. Kwa Mungu yote yawezeka.. kwasababu Pesa na dhahabu ni mali ya Bwana, na vitu vyote alivyoumba 😀😀😀
Neno linasema mwenye haki wangu ataishi kwa imani 😍😍Ngoja tumpime imani financial services
Amen, hakikaNeno linasema mwenye haki wangu ataishi kwa imani 😍😍
Shukrani mkuu tunakesha na majonzi yetuNgoja nikuletee birika kabisa