Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Hali ya hewa ya ukapepo flani hapa.. viunga vya coco beach.. karibuni
Funga lindo mkuu06:02.
Inatosha kwa leo, mkalale sasa, tukutane baadaye

Tunamshukuru MuNgu imekuwa njemaHeri ya Pasaka wanalindo
Imeenda vema nikiwa nimepumzika tu nyumbani, Mungu mwemaTunamshukuru MuNgu imekuwa njema
Imekuwa poa
Saa sita na dakika hamsini na kenda
Disco neno la zamani...kwani ulilenga kwenda kufanya nini huko disco?0055
Jaman nmefanikiwa kuingia disco ila mapaka sasa sielewi somo, nashangaashangaa tu![]()
si unajua ss walokole, maneno ya kileo cyajui ila nazan n clubDisco neno la zamani...kwani ulilenga kwenda kufanya nini huko disco?