JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Simba oyee.

Endeleeni nitarudi baadaye
FB_IMG_1614099202046.jpg
 
Nilale sasa, nimemaliza kumsikiliza MoJ 360. Huyu kaka ana sauti jamani 😋

1:03, ulinzi mwema...
 
Dah....amka ...kula tangawizi ya kutosha...tafuna kitunguu swaum...limau.....lamba na asali kidogo...isije somwa historia fupi...alizaliwa ...akapata mafua....akakosa usingizi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]Hiyo historia
 
Back
Top Bottom