moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,431
- 776,228
Pole sana, nadhani unaishi karibu na ukanda wenye misitu minene, huku kwetu jua ni kali na kuna joto la kutosha[emoji99][emoji943]
Mvua za kipindi hiki zina radi Kali sana, imepiga moja ya ngurumo hadi usingizi umepepea [emoji948]