B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Hujaoa👀Alone
0103🤔🤔
Hujaoa👀Alone
0103🤔🤔
Bado mkuu. Hali ilivo hata haileti mzuka kuoa😆Hujaoa👀
GOOD NITE BUDDY!GOOD NITE POPOS 01:05 Hrs
😅 Basi jiweke karibu na mungu uepuke kukwea mnazi na mkono Mmoja.Bado mkuu. Hali ilivo hata haileti mzuka kuoa😆
Amina kubwa mkuu😅 Basi jiweke karibu na mungu uepuke kukwea mnazi na mkono Mmoja.
Thank you BuddyGOOD NITE BUDDY!
Angala mungu kakubariki furaha ya kucheka keep that.Amina kubwa mkuu
Sure mkuu, Mungu hakunyimi vyote, mm huwa nakuwa happy hata nikiwa nmetingwa, sometime unaweza usijue kama nahitaji msaada kwa jinsi navokuwa na furaha. Nikinuna bc ujue cko vzr kiafya.Angala mungu kakubariki furaha ya kucheka keep that.
Usiipoteze.
Yeah mkuu, hii ndo source ya utulivu wa akili yako, furaha za kuletewa sio permanent, ila within us ni milele.Sure mkuu, Mungu hakunyimi vyote, mm huwa nakuwa happy hata nikiwa nmetingwa, sometime unaweza usijue kama nahitaji msaada kwa jinsi navokuwa na furaha. Nikinuna bc ujue cko vzr kiafya.
Kwel kabisa mkuuYeah mkuu, hii ndo source ya utulivu wa akili yako, furaha za kuletewa sio permanent, ila within us ni milele.
Mkuu umeingia lindo saa ngapi mbona unaondoka mapema hivi😛0130
Byeeee nami nipumnzike😁
Umeachia nani lindo?0130
Byeeee nami nipumnzike😁
Asante. Happy Valentine's Day.Happy valentine's day wapendwa wote humu
01:35
Thank youuAsante. Happy Valentine's Day.
Babe kichafu mambo!0147Hrs
14.02.2021