Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
0435
Salaam wapenzi wa uzi huu
Ndugu zangu naomba mnijurishe farsafa za uzi huu ili angalau nipige kambi hapa
044304:00
0444Ndugu zangu naomba mnijurishe falsafa za uzi huu ili angalau nipige kambi hapa
0445
Hapana mpaka 0600![]()
Fafanua mkuu sijaelewa0444
Hakikisha maeneo ulioponi salama,maana hii mida ya kukabidhi lindo inakaribia
Sijalala bro, ila fanya kunipa taarifa kidogo kuhusu adhma ya uzi.1.Mkuu umelala?
Wewe sio uko lindoni hapa??hili ni eneo la lindoFafanua mkuu sijaelewa
Mkuu kapumzike,ngoja nimalizie lindoHapana
Hatuwezi kusubiri ...
Watu wanasinzia tochi zote zimezima zingine zimedondoka
Zina waka baadhi
Sijalala bro, ila fanya kunipa taarifa kidogo kuhusu adhma ya uzi.
Kwamba tunajadili nini hapa mkuu
Mmh!
Adhama
1. Umekwisha timiza
Kama tu huja lala
2.ni kosa kisheria ku "comment mchana
Night only...
3.Maelezo zaidi..
Soma.....Page. #1 from own thread
Muone
No escape
Akukabidhi
Tochi ,Filimbi,Na Rungu la mgambo
Mkuu kapumzike,ngoja nimalizie lindo
Tutaonana badae.
Mkuu...
Umeacha lindo wazi karibu lisaa 1
Umetuweka mashakani..
Sungusungu wa Jf