Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Wakati nasikia ni ngumu kumesa eti..Hahaha kwa utamu wa balimi, wacha tu nipoteze kazi ntatafuta nyingine![]()
Wakati nasikia ni ngumu kumesa eti..Hahaha kwa utamu wa balimi, wacha tu nipoteze kazi ntatafuta nyingine![]()
Pengine.Umeharibu malengo rudi tu ulivyo ona sivyo utakua umewaza tu

Haya leo nimeinjoy karibu tena na uwe na usiku mnonoHaya bana.
Jamani,wa mwisho asisahau kifunga geti naona jje's Thad Ney bright Kichwa Kichafu leo kimyaaaaa. Ngoja na mie nikaungane nao
![]()
![]()
![]()
Mkuu ndo ushatutosa kwenye chama sio, ndo maana kwenye maadhimisho tulikua wachache sana![]()
we baba kayayiii chama gani hicho? Eti baba chanjaPoleni mara ingine ntakwepo nikiwashuhudia vilivyo![]()
![]()
![]()
Mkuu ndo ushatutosa kwenye chama sio, ndo maana kwenye maadhimisho tulikua wachache sana![]()
Asante. Usimku mwemA mlinzi mpenda balimi,baba kayayiii.Haya leo nimeinjoy karibu tena na uwe na usiku mnono
Usisikilize ya kuambiwa, siku zote kizuri hutengenezewa maneno mabaya ili wachache wakifaidiWakati nasikia ni ngumu kumesa eti..

Ha ha haaa kama ile ukinywa lazima ukazi sura na kufumba macho?Wakati nasikia ni ngumu kumesa eti..
Ndo hivyo uegemee kabisa khofu ikutokePengine.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Over gongoHa ha haaa kama ile ukinywa lazima ukazi sura na kufumba macho?
you guys niacheni nilale mieSawa mama kayayiiAsante. Usimku mwemA mlinzi mpenda balimi,baba kayayiii.
Hahaha mwulize baba chanja atakwambia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
we baba kayayiii chama gani hicho? Eti baba chanja

Hapana shemela,huyo ana mama kayayii wake...Sawa mama kayayii
Sijapata hata mualiko walikua pekeyao tutalipiza na sie peke etu au sio?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
we baba kayayiii chama gani hicho? Eti baba chanja
Kanijibu hivi etiHahaha mwulize baba chanja atakwambia![]()
Ha ha haaa kama ile ukinywa lazima ukazi sura na kufumba macho?
Mkuu unanibebesha fuko sijui lina nini ujue mjibu mwenyeweHahaha mwulize baba chanja atakwambia![]()
Over gongo![]()
![]()
![]()
you guys niacheni nilale mie