Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Yap..Yap!!..nikiimba naifeel vibaya mno🤦
Yap..Yap!!..nikiimba naifeel vibaya mno🤦
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kastori fulani hivi imeanzia mbaliiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna nilimuonaga Mdogo wangu mmoja anaimba..nilipenda alivyokuwa anajiachia..nikautafuta wimbo
Hebu fanya kuimba.... Naisikiliza hapaYap..Yap!!..nikiimba naifeel vibaya mno[emoji1751]
😂😂😂😂 Acha kabisa[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kastori fulani hivi imeanzia mbaliiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kah sema sio mbaya kazi ya ulinzi inataka uwe mpiganaji[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ikiwezekana[emoji12][emoji12]
Imenibidi niweke sasa replyyyyy[emoji681] nionesheeee sasa, nimezubaa tu hapa maneno haya yanamsisimuo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha kabisa
Hii song sasa unaiweka ukiwa unakulana ... Room full candle [emoji992], chocolates [emoji515], wine, strawberry [emoji526] unakanyagiaaaa bila brake uku ukisikilizia milio tuYap..Yap!!..nikiimba naifeel vibaya mno[emoji1751]
Hahahahaha
Mkifunga mnachekelea, mkifungwa mnaanza kufukuza makocha.. Mmezidiwa mchezo.Huyu kocha wa Barca anaweza kurudi Spain kwa daladala hawatamruhusu apande ndege yao
Kama hivi?Hii song sasa unaiweka ukiwa unakulana ... Room full candle [emoji992], chocolates [emoji515], wine, strawberry [emoji526] unakanyagiaaaa bila brake uku ukisikilizia milio tu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Hii song sasa unaiweka ukiwa unakulana ... Room full candle [emoji992], chocolates [emoji515], wine, strawberry [emoji526] unakanyagiaaaa bila brake uku ukisikilizia milio tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakuona vileMkifunga mnachekelea, mkifungwa mnaanza kufukuza makocha.. Mmezidiwa mchezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha
Ooh beibiii ukinigusa nyan'ganyan'ga mwenzako sijiweziii[emoji445]
Mimi kipofu napapasa juu yakoo..nahisi hakuna amani nisipokuona nyumbani[emoji445]
Moyo unajawa tafuraniii..kwichikwichi chumbaniii haziishi kichwani[emoji445][emoji445]
Hasa pale ukiwa mbali namii[emoji445]
Chochea kuni kwa kishindo jiko lako ni Mimi[emoji445]
Unipe joto joto penzi kwenye baridiii[emoji445][emoji445]
Nitan'gan'gana nawe nitabaki nawe sitokuacha mpwekeee[emoji445]
Shika nishikilie usiniache Mimi chunga wasinitekee [emoji445]
Honey Mimi kwako Nazi mbataaa..[emoji445][emoji445]
Nitafune unavyotaka[emoji445]
Kiuno sindimba chakachaa[emoji445]
Serebuka unavyotaka [emoji445]
Nioneshe niweke tepetepe[emoji445][emoji445][emoji443]
Aisehhhhhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kudadeki, umpe baby mama hizo mikanyagio anakuachaje sasaKama hivi?
HahahaSent using Jamii Forums mobile app
Hapo wote mnanukia manukatooo kwa mbaliiiiiiii perfume za kwapa na mmevaa vitu night dress [emoji156] lainiiiii lainiiii huku upande wapili boxer tu full mvutanooo tu unakula na pingu kabisa ili usifurukutee inapozamaaa pangoniiii[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha weeehh..na viharufu fulani hivi vya marashi nini