fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Mlinzi huyo hawezi kuwa timamu lindoni mpaka apangiwe na sketi😂😂Wamo sema hawajapitia hapa...
Mlinzi huyo hawezi kuwa timamu lindoni mpaka apangiwe na sketi😂😂Wamo sema hawajapitia hapa...
Ukimaliza hio sindikizwa na mwingine wa don unaitwa 'Lord, i hope this day is good'.Lindo langu linasindikizwa na kibao mashuhuri kiitwacho "All Am missing is you" by the late Don Williams
Hahaha umejuaje tayari kipo hewani now maana zimejipanga kwenye file langu kwa majina. Namkubali sana huyu regendary country musicianUkimaliza hio sindikizwa na mwingine wa don unaitwa 'Lord, i hope this day is good'.
Anakwambia Lord, have you forgotten me?Ukimaliza hio sindikizwa na mwingine wa don unaitwa 'Lord, i hope this day is good'.
Ndio muda wenu huu wakati sie tunafungasha🤣🤣Wale wazee wa halftime wakati umetaradadi
Haya bhana karibu
Mkuu mimi na wewe tupambane na hali ya ubaridi tu wa kulindaHaya bhana karibu
Na baridi linapiga aisee.... Hakuna namna maana tumeachwa peke yetu all night longMkuu mimi na wewe tupambane na hali ya ubaridi tu wa kulinda
Kabisa mkuu. Kama tumetelekezwa vileNa baridi linapiga aisee.... Hakuna namna maana tumeachwa peke yetu all night long
Kawa adimu sanaNatoa tangazo
Aliyenionea mke wangu chiqutitta please.
Mwambieni mumewe amemmiss arudi nyumbani tuyajenge
Yaani naumia mkuu bhasi tu...Kawa adimu sana