Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,684
Umenikuta naingia mlangoni pia, vipi unaweka kambi au unapita tu11:35
Nakagua lindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikuta naingia mlangoni pia, vipi unaweka kambi au unapita tu11:35
Nakagua lindo
Naweka kambi leo
Sema ikifikaga mida ya saa tisa usiku hivi walinzi sijui wanatokaga wapi, huwa wanakuaga nyomi kweli kweli11:35
Nakagua lindo
Saa Tisa usiku mwingi mambo mengine yanakuwa yakifanyika muda huo..usishangaeSema ikifikaga mida ya saa tisa usiku hivi walinzi sijui wanatokaga wapi, huwa wanakuaga nyomi kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Good good sasa tuchangamshe kambi kwa kuwasha kuni tupate moto na wineNaweka kambi leo
vyakula, Hilo nalo la maana Sana..sogeza hizo kuni tuchochee Moto..maana si kwa baridi hili.Good good sasa tuchangamshe kambi kwa kuwasha kuni tupate moto na winevyakula,
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa Tisa usiku mwingi mambo mengine yanakuwa yakifanyika muda huo..usishangae


Mambo ya vuta ni kuvute, ni shuka lichanike au basi kutokwa jashosubiri nazileta kuni, mwengine alete ulindi na wombombo.Hilo nalo la maana Sana..sogeza hizo kuni tuchochee Moto..maana si kwa baridi hili.
Baridi inatutafuna, kwani ukituzidi uwezo tutakosa mbadala kweli?Hilo nalo la maana Sana..sogeza hizo kuni tuchochee Moto..maana si kwa baridi hili.
Viberiti vya zama za kale umenikumbusha mbali sanasubiri nazileta kuni, mwengine alete ulindi na wombombo.
sasa hivi nafikiri nazenyewe zishakua kuni tu.
subiri nazileta kuni, mwengine alete ulindi na wombombo.
Umeangukia pua kwenye kutia nia, umerudi kwenye ajira yako ya ulinziNipo Mzee, mambo ya kutia nia yalinipeleka puta.
Moto wa kuchomea mahindi kabisa na kuchomea mbuzi,Kuweni makini na huo moto msije kuunguza lindo!