fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,684
- 24,003
Maamizi yafuate katiba yako na sio maamuzj ya mtu mmoja, huo ni ubakaji wa demokrasia ndani ya chamaHapo kwenye kamati ya maadili ndio kuna vichekesho vya hatari! Sisi washabiki ngoja tuvute ukwaju na popcorn tayari kabisa kwa muvi pendwa! Ila tatizo staring anaweza kuamua akabadili script na tukio zima likabarikiwa kwa majina laini laini na maisha yakaendelea! Wajumbeeeee..................
