JamiiForums Usiku wa manane
Sio huyo tu mpaka kamati ya maadili ya chama tuone hatua wayakayochukua. Maana rushwa imekuwa nje nje na wengjne wakitamba wametumwa na ofisi kuu. Yajayo yanachekesha
Hapo kwenye kamati ya maadili ndio kuna vichekesho vya hatari! Sisi washabiki ngoja tuvute ukwaju na popcorn tayari kabisa kwa muvi pendwa! Ila tatizo staring anaweza kuamua akabadili script na tukio zima likabarikiwa kwa majina laini laini na maisha yakaendelea! Wajumbeeeee..................
 
Wajumbe ni umbwa....
 
Attachments

  • VID-20200802-WA0022.mp4
    7.3 MB
Back
Top Bottom