Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,751
Hili siliwezi kabisaWe ni mzee wa tungi tu. Wengine wanalicheza hilo wanakuja kushtuka ngoma asubuhi nje kweupee...
Ndio raha ya pool table pembeni una kinywaji chako taratiibu masaa yanakatika[emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app