Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
Mungu akusaidie, wangu ndo anaongia ofisini sasa hiviDah! Bosi wangu ni Yanga, Ndio naamka msaada jamani.....
Mungu akusaidie, wangu ndo anaongia ofisini sasa hiviDah! Bosi wangu ni Yanga, Ndio naamka msaada jamani.....
Juakali, Msaada gani huo sasa! Niende au nibaki...Mungu akusaidie, wangu ndo anaongia ofisini sasa hivi
NdioUko unaiangalia?
nilidownload hyo movie wiki iliyopita, nikawa natamani sana kuangalia ila baada ya kuangalia sikupendezwa nayo sana, unaionaje wewe?Artemis Fowl![]()
mkuu hivi ilo pooltable linaraha gani mana naliona la kawaida sana, lakni watu wanakua addicted nalo sana sijui kwanini.wanafunga ,nahamia kwingine ,huku nakagua lindoView attachment 1505982
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, Mkuu mm ujanja wangu wote silijui kulicheza nami nilikua nashangaa tumkuu hivi ilo pooltable linaraha gani mana naliona la kawaida sana, lakni watu wanakua addicted nalo sana sijui kwanini.
yani mi naliona kama nilikitu ambalo wala sitajisumbua kulijua na sitajilaumu.Hahahaha, Mkuu mm ujanja wangu wote silijui kulicheza nami nilikua nashangaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio km mm ukweli hilo dude huwa natazama na sielewiyani mi naliona kama nilikitu ambalo wala sitajisumbua kulijua na sitajilaumu.
Hapa mbona kama Maasai Club kule chini kwa ndani budaa?wanafunga ,nahamia kwingine ,huku nakagua lindoView attachment 1505982
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha pool table ni mchezo kama unavyoona michezo mengine. Inahitaji akili, shabaha na maamuzi ya haraka kumshinda opponent wako.mkuu hivi ilo pooltable linaraha gani mana naliona la kawaida sana, lakni watu wanakua addicted nalo sana sijui kwanini.
We ni mzee wa tungi tu. Wengine wanalicheza hilo wanakuja kushtuka ngoma asubuhi nje kweupee...Hahahaha, Mkuu mm ujanja wangu wote silijui kulicheza nami nilikua nashangaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app