Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
Haha ukiimba kwa nguvu lazima watu wageuke waone hiyo sauti inatoka wapi sasa 😂😂Zipo nyingi mfano
Rihanna - where have you been
Beyonce - If I were a boy![]()
Haha ukiimba kwa nguvu lazima watu wageuke waone hiyo sauti inatoka wapi sasa 😂😂Zipo nyingi mfano
Rihanna - where have you been
Beyonce - If I were a boy![]()
Nilikuwa nasikiliza hiyo ya Rihanna hapo juu nikasema hii hapana kwakweliHaha ukiimba kwa nguvu lazima watu wageuke waone hiyo sauti inatoka wapi sasa![]()




Karibu sana
Hahah!Hao woteee kamandas yna2 Goddess Rowin mama D Saint Anne hawana shida ndogo ndogo za vocha watakuja sasa hivi


Yani ulikua unasubiriwa
😳Kazi ishanishinda acha nilale![]()
Na hii baridi uko hapo? Watu mnajiweza jamani khaa!! 😅101 ( one O one ) Chuga
Na hii baridi uko hapo? Watu mnajiweza jamani khaa!!![]()
Kwema,
Ulimisiwa hatari mpaka watu wakaamua kususia lindo, tatizo raia hawana imani