Nafunga mm leo.0500
Napita kuangalia kama mmefunga lindo ama bado
Nafunga mm leo.
We mzee huwezi funga hili gate la 77![]()
Ndio maana leo nataka nifunge mwenye abaki mtu ndani leo.Siwaamini nyie vijana, sijui huwa mnafungaje naona watu wananyapia humu hadi mchana!
Game imeshaisha chamkwezi wote hoi.Wale wazee wa halftime ndio wakati wenu huu
Huyu simvulagizi tu kasha kurupushwa huko.Ukinihakikishia hilo nitakupa funguo, ona huyu Drizzle ndo kaamka!!
Game imeshaisha chamkwezi wote hoi.



kwa hiyo ushamaliza chako cha mkwezi. Una balaa kijanaSaiz ni mwendo wa matuta penalty penalty ukipaisha shauri yako.kwa hiyo ushamaliza chako cha mkwezi. Una balaa kijana
Mzee nimekurupushwa tena wakati nipo napasha viungo moto kwa mtanange wa raundi ya piliHuyu simvulagizi tu kasha kurupushwa huko.
Duh hongera sanaNgoja nikasake sixpacks kwanza, mtamalizana wenyewe.
![]()
Mm nimeridhika na one pack yanguNgoja nikasake sixpacks kwanza, mtamalizana wenyewe.
![]()
Tisha sana kijanaSaiz ni mwendo wa matuta penalty penalty ukipaisha shauri yako.


