Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,231
Ndiyo kamanda
Subiri muda,utajibiwa..Hivi kwanini posho zetu hucheleweshwa? Ilihali tunateseka na baridi na mbu,
Tudai banah wanangu wanarudishwa hawana adaSubiri muda,utajibiwa..
Yaan wa depo hata package yetu ya mwez uliopita n majanga tuHivi kwanini posho zetu hucheleweshwa? Ilihali tunateseka na baridi na mbu,
Nasikia accounts watu wamegoma kuziandikia posho zetu, kisa ni mpunga mrefuYaan wa depo hata package yetu ya mwez uliopita n majanga tu
Yaani we aaaacha Tu!Hivi dar tu baridi namna hii mikoani inakuaje...!!?
Unalala au?Usiku mwema