JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

•••”Hata marefa wana timu zao mama panga matokeo,
Pambano lianze tushajua goli ngapi ngapi leo”. [emoji39]

Yalaiti—— MwanaFA [emoji445][emoji442]

cc: yna2
 
”Kila shetani ana mbuyu wake, we ni mibuyu mitatu.
Ukiamua unitumikishe wallahi ntalala na viatu.
Najionea maajabu, najionea mapya mama angu.
Hakuna mapenzi ya hivi popote kwenye ulimwengu”. [emoji39]

Kiboko yangu—— MwanaFA [emoji445][emoji442]

cc: Goddess
 
nipo na putin hapa
 

Attachments

  • putin.jpg
    putin.jpg
    56.7 KB · Views: 8
Dah mbona kama nanuka mdomo halafu harufu ya chibuku.
Lindo la leo sukusikia baridi
 
Leo hakuna lindo, na sisi walinzi tunaenda break kidogo na kesho hatuingi
 
🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
No work tomorrow, no work tomorrow!!!!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom