Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Inaishia sasa Star Gold hahaaa!!Eeeh nakuja ,fasta
Inaishia sasa Star Gold hahaaa!!Eeeh nakuja ,fasta
Sali utajikuta umesinzia na kulalaI did..
Ila ndio hivo kichwa chataka kubust
Aaah,basi nakuja hivyo hivyo ,utaniwekea nyingineInaishia sasa Star Gold hahaaa!!
Karibu, pita ndaninshakuja
Kwanini wengi huwa wanasinzia wakati wa kusali?Sali utajikuta umesinzia na kulala
Poa poaUsiku mwema wakuu, endeleeni kulisongesha. Tutaonana tena badae panapo majaaliwa
Hahahaha, kijana huyo ni shemeji yako unataka aje wapi?Namimi njoo basi
Wapi?!!!Namimi njoo basi
Hahahaha, we jiangalie kijana , umeambiwa sali ulaleShemeji kwa nani.?
Aje unapotaka aje..![]()
Hebu mwambie huyo kijanaWapi?!!!
Hahahaha, mpenzi ,wasikusumbuedaah!
Haina ushemeji tuna kulagaHahahaha, kijana huyo ni shemeji yako unataka aje wapi?
Hahaaaaa!!asali alale!mida ya wazazi wake hii!Hahahaha, we jiangalie kijana , umeambiwa sali ulale
Umeona eehHahahaha, mpenzi ,wasikusumbue