MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,452
- 69,332
Bwahaha! Mimi hapa nasingiziwa tu, leo nimeamka niko na mood ya kusikiliza mziki sana hivyo nikawa naweka mangoma tu. Totoz za JF na mimi wapi na wapi braza ?We jamaa nikikuonaga pande hizi tu najua upo kwenye mawindo!!! Yaani Kataskopos wewe uache kusherehekea taifa kuingia uchumi wa kati wewe?!
Si bure!!!

Nikiachika itabidi unioe wewe.