Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Tupo mkuuPopoooozz, mpo
Tupo mkuuPopoooozz, mpo
Usinifukuzie my love wanguHii utafundishwa baada ya kuwajengea wakwe nyumba mbili, kuwanunulia usafiri wenye hadhi, na angalau kuassist kila shemeji akapata ka vitz![]()
![]()

Duuh hahaha shemeji unakua mkorofi namna hiyo hata mahari hujamalizaAcha nikamdekeze jje's we baki na viroba vyenu.

Tatizo ile mida bijitaka kukufundisha unakazania mambo ingine. Leoni lugha tuBaby mbona nami unifundishi hii lugha makinikia.

Hahaha enheeh endelea sasaMajina yake yote yanaanza na herufi N

We ni popo suguPopo mkongwe kama kawaida yangu, nawapitia tu kuwajulia hali
Tuna vita kati yetuHii utafundishwa baada ya kuwajengea wakwe nyumba mbili, kuwanunulia usafiri wenye hadhi, na angalau kuassist kila shemeji akapata ka vitz![]()
![]()

Huyo mwalimu has only one pair ya sare na dent wakeMajina yake yote yanaanza na herufi N

Deep lov my lovUsinifukuzie my love wangu![]()
![]()
Hahaha mshiki ujue haya yote ni kwa ajili yako, sisi ndio tuna uchungu na wewe ujue,Usinifukuzie my love wangu![]()
![]()

Kamtafute mwanafunzi kwanzaDuuh hahaha shemeji unakua mkorofi namna hiyo hata mahari hujamaliza![]()
Tutaanza kesho mbona suprise lovTatizo ile mida bijitaka kukufundisha unakazania mambo ingine. Leoni lugha tu
Sawa bbyto![]()
Mkuu umesahau wengine ndo kwanza tumeingia kazini,Ama kweli watu wanakosa usingizi, hivi wenye wake au waume mpo sahizi humu hawawalazimishi mpande kitandani au mna ugonvi sasa umeamua kukaa na simu au computer upoteze muda au amekukera au umemnyima akaondoka umebaki na mawazo usingizi hauji. kwa mabachela kumbukeni kesho ni siku ya kwenda kwenye mishemishe sio ukae kwenye daladala unasinzia uwe kituko, wa ma ofisini msinzie kama vile ulikuwa na kazi nyingi usiku

Nakusiliza weye tu.Usimkize bhana![]()
![]()
Duuuh kwani mnabadilishana nn msacha oko mkunde jamanHahaha mshiki ujue haya yote ni kwa ajili yako, sisi ndio tuna uchungu na wewe ujue,![]()
Na akikimbia kwa ajili hiyo, huyo ni wakuacha aende tu, hakupendi ( ni chungu lakini meza ni dawa nzuri)![]()
![]()
