Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,873
- 51,660
Hongera sana kwakupokea wokovu mpendwa, msalimie mama, mwambie kuna kijamaa fulani hivi jf anakupa poleYeah mpendwa
Ubarikiwe
Hongera sana kwakupokea wokovu mpendwa, msalimie mama, mwambie kuna kijamaa fulani hivi jf anakupa poleYeah mpendwa
Ubarikiwe
Ahsante SanaHongera sana kwakupokea wokovu mpendwa, msalimie mama, mwambie kuna kijamaa fulani hivi jf anakupa pole
Naomba nikutakie muda mwema.
Unaaga mashindano mapema sana, na kwako pia uwe na usiku mzuriNaomba nikutakie muda mwema.
12:33
Mlinde vyema..ila mna ujasiri na hili baridi....nilale mie..tchaoo
Ulinzi ni wito kama upadri tu
Napata broccoli, prawns, roast chicken, onions, green peppers, avocado, and lime juice.Inapendeza
Ahsante..unakula chakula gani?
Kiongozi kwema?
Nafurahi kusikia bimkubwa anaendelea vyema. Ni jambo jemaYeah mpendwa
Ubarikiwe
Kuna usalama lakini?Dogo Super Villain popote ulipo.. unasubiriwa lindoni
Kwema kabisa, lindoni kukamilisha ratibaKiongozi kwema?
Sana mzeeKwema kabisa, lindoni kukamilisha ratiba