Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Limefungwa kibabe kimefunguliwa kibabe zaidi mkuuUsiogope, nimeona tu niwahi kabla sijapoteza funguo.
Limefungwa kibabe kimefunguliwa kibabe zaidi mkuuUsiogope, nimeona tu niwahi kabla sijapoteza funguo.
12:02
Salama..za kwakoVipi hali yako!
Salama..za kwako
NashukuruNiko poa, vipi hali ya mama!
Nashukuru
Mama anaendelea vizuri..Mungu Ni mwema kwakweli.
Niko poa sana. Hasa nikiwa hapa lindoni. Karibu msosiMzima..sijui wewe mpendwa
InapendezaNiko poa sana. Hasa nikiwa hapa lindoni. Karibu msosi
YeahHabari njema hii, kwa leo hata nikilala nitakuwa nimesikia habari njema.
Niko poa sana. Hasa nikiwa hapa lindoni. Karibu msosi

Maombi yamesaidia kwa kiasi chakeNashukuru
Mama anaendelea vizuri..Mungu Ni mwema kwakweli.
Yeah mpendwaMaombi yamesaidia kwa kiasi chake