Unajua kisa cha kuanzishwa kwa youtube ni huyu bibie kesho nitakusimulia kalale tu.
Ngoja nimalize na hii,...... Muwe na usiku mwema![]()
Nilikua sijui hiyo, kimbe, kesho usisahau, hata hivyo nitakukumbusha pmUnajua kisa cha kuanzishwa kwa youtube ni huyu bibie kesho nitakusimulia kalale tu.
Baridi balaaSumbawanga baridi linasemaje huko?
PoaNilikua sijui hiyo, kimbe, kesho usisahau, hata hivyo nitakukumbusha pm




Hongera mkuu.usisahau kusali sasamm muda wangu ni saa 9
Hakuna siku inayopita nikalala bila kusali huo ndio utaratibu wangu nimerithiswa huo muda.Hongera mkuu.usisahau kusali sasa
Huu ni utaratibu wangu mkuu.02:00 nikizidisha hapo shetani lazima apambane na mimi kunitia usingizi😅😅Angalau hata umekumbuka kusali,
Hata mimi nimemstukia aise😅Ahh hizi kauli za wasaulifu
PoleniBaridi balaa
Ohooo haleluyah...😘😘😘😘namshukuru Mungu kwa ajili yako🙏Hakuna siku inayopita nikalala bila kusali huo ndio utaratibu wangu nimerithiswa huo muda.
Ohooooo ..okyyyTrust me hiyo ndio time yangu mm..
Trust me kweli ndio muda wangu yani mm nitafanya uhuni wote lakini sala ni maisha yangu wanaonijua hawatashangaa hili.Hata mimi nimemstukia aise![]()
Then hear me rapping that song


Maisha ngumi ya bitozi,siogopi kutega suraOhooo haleluyah...namshukuru Mungu kwa ajili yako
![]()
Ila mm ni rozari kila siku.TushapoaPoleni
Wow...safi sanaaaTrust me kweli ndio muda wangu yani mm nitafanya uhuni wote lakini sala ni maisha yangu wanaonijua hawatashangaa hili.
Okyyy...hapo tuko tofauti kidogo.ila sio mbaya Mungu ni mmoja tunaemuombaIla mm ni rozari kila siku.