Cha utoro..12:46
😂😂Cha utoro..
Likizo ya bila malipo sio, maana umejipa mwenyewe
Likizo
Nilipewa na boss bwanaLikizo ya bila malipo sio, maana umejipa mwenyewe
Watu na ndoa zao😂😂
Likizo
😂😂😂😂Cheeeiiii!Watu na ndoa zao
Umempa boss hongo weweNilipewa na boss bwana
Amina mama ndoa kwanza jf badae,au sio😂😂😂😂Cheeeiiii!
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Akuu..alafu boss mwenyewe ndiye aliyeamuru nichukue likizo.Umempa boss hongo wewe
Eeh ndiyo ndiyoAmina mama ndoa kwanza jf badae,au sio
Poa mambo mapya!Eeh ndiyo ndiyo
Hakuna jipya mpendwa..mzima weye?Poa mambo mapya!