Hii hii midude yao ina jotoo sio la kitoto...Sawa mkuu, hata Nashera ya Dom kupo kama hivyo.
Hapo tafuta blanket la kukuondolea hiyo baridi ya Dom.
Simaanishi hayo madude yao. Tafuta blanket chapa mtu.Hii hii midude yao ina jotoo sio la kitoto...
Mpenzi wa the Cruz!,What if I told you that I love you?
Would you tell me that you love me back?
If I told you that I miss you
Would you tell me that you miss me back?
What if I told you that I need you?
Would you tell me that you need me, yeah?
If I tell you all my feelings
Would you believe me, yeah? 🎶
😀😀😀😀.. hapa ndio nipo tofauti na watu wengi, kukiwa na baridi kali sana huwa sipendi kugusana gusana na mtu.. hata manzi wangu anajua hili..Simaanishi hayo madude yao. Tafuta blanket chapa mtu.
Ushavutwa na blanket chapa mtu wewe
Ushavutwa na blanket chapa mtu wewe
Huu mbinuko balaa
Umeikimibiza week naona kama friday its hereTo that mysterious girl who came to my pm kubarikiwa
mziki mzuri huu