Depal yupoUsingizi umeisha. Nakuja kukesha hamna mtu
Depal yupoUsingizi umeisha. Nakuja kukesha hamna mtu
Tumelala mchanaNyie mwalala sangap lakini.? Toka saa4 mpoo
Half timeYuko wapi
Usiogope, Mlugaluga nipo; nitakulinda! 😅Mambo gani haya jamani usiku huu
Nimeogopa kiasi 😀 picha itanikaa akilini alafu uwe msalaUsiogope, Mlugaluga nipo; nitakulinda! 😅
Nina Mundu na Mshale hapa, usiwe na wasiwasi. Halafu 4:20AM kunakucha hivyo. 😀Nimeogopa kiasi 😀 picha itanikaa akilini alafu uwe msala
Aiseeeenitakuwepo lindo lingine
Acha kabisa aiseee, Konyagi ni dawa ya mbu Nina ushuhudaKweli KONYAGI kidume hadi Baridi,Mbu vinaniogopa,
Sikuona hata kimojawapo lindo la leo
Ila ndio naona geti liko wazi na godwon sijui nani kanisaidia kufungua. Ngoja nikagueAcha kabisa aiseee, Konyagi ni dawa ya mbu Nina ushuhuda
yaciIla ndio naona geti liko wazi na godwon sijui nani kanisaidia kufungua. Ngoja nikague
Ndio muda ya mwisho vibaka hii ya
yaci

Haina NouméaNakagua kitabu cha walinzi muondoke. Nafunga funguo boss anachukua
Mwana F.A- GwijiHuu ni wimbo? Hiyo statement nimeisikia jana jioni jioni ila sikumbuki ilikuwa ni wapi

Hahahaha, hujamuita...Leo naomba nifungue geti.
Ahsanteni.