Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,884
- 51,706
Huwezi kujua umri wangu kwa sababu nampenda mziki kushinda kitu chochote kuna nyimbo huwa nasikiliza lakini nilikuwa sijazaliwa tatizo hili![]()



Huwezi kujua umri wangu kwa sababu nampenda mziki kushinda kitu chochote kuna nyimbo huwa nasikiliza lakini nilikuwa sijazaliwa tatizo hili![]()



Sasa kama nina album za Phil, Shane ward na kina James blunt
Sio kizazi changu hiki kabisa. 
Mziki kwangu ni zaidi ya dawa, kwa umri wangu nimeshasikiliza nyimbo nyingi sanaHuwezi kujua umri wangu kwa sababu nampenda mziki kushinda kitu chochote kuna nyimbo huwa nasikiliza lakini nilikuwa sijazaliwa tatizo hili![]()
Hapa mzee umepita mule mule acha hizi ngoma hawa wazee waliimba.
Sasa kama nina album za Phil, Shane ward na kina James bluntSio kizazi changu hiki kabisa.
![]()
AhUkisikiliza huchoki zipo so romanticHapa mzee umepita mule mule acha hizi ngoma hawa wazee waliimba.
Mpaka nifike age kama yako Mungu akijalia uzima nitakuwa nimesikiliza wasanii wengi sanaMziki kwangu ni zaidi ya dawa, kwa umri wangu nimeshasikiliza nyimbo nyingi sana

Ukiweza kubashiri umri wa huyu dogo nakununulia msokoto wa bange uvute usiku kucha.Naweza kubashiri umri wako kwa hizi nyimbo unazosikiliza mpaka sasa, sawa mzee mwenzangu weka kitu niweke kitu
Kuna mtu huwa na mtumia ananiambia ww hizi nyimbo unazito wapi kwa umri wako huu



Ukiweza kubashiri umri wa huyu dogo nakununulia msokoto wa bange uvute usiku kucha.



Offer gani hiyo unatoa ww?Kwani hiyo offer inakuhusu mzee?Offer gani hiyo unatoa ww?


. Au ushatengeneza hamu kwa harufu ya msosi wa jirani?Kwani hiyo offer inakuhusu mzee?. Au ushatengeneza hamu kwa harufu ya msosi wa jirani?



Hiyo tabia sina kabisa mambo ya wapare hayo 

unaweza penda nyimbo kwa beat ndio hii sasa 


Playlist yangu niliweka Dropbox sijawahi ipoteza hata nikibadiri handsetMpaka nifike age kama yako Mungu akijalia uzima nitakuwa nimesikiliza wasanii wengi sana![]()
Sasa tulia mzee mwenyewe Iceberg9 ajinyakulie zawadi yake



Nasubiria anze kumwaga radhi baada ya kutumia 
Na wewe ulivyo wenge. Siku ukivuta bangi utatembea uchi mitaa yote ya DarNasubiria anze kumwaga radhi baada ya kutumia
![]()


