Kila sehemu mwamba upo, hizi ngoma achana nazo leo jumapili tulivu nimesikiliza sana hizi ngoma, weka kingine mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo naangalia nyimbo za ajabu tu.Kila sehemu mwamba upo, hizi ngoma achana nazo leo jumapili tulivu nimesikiliza sana hizi ngoma, weka kingine mzee
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo naangalia nyimbo za ajabu tu.
Nimekumbuka mbali sana naona nizisikilize hizi ngoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo naangalia nyimbo za ajabu tu.
Ndio unalala? Ama!0200...Mwisho
Humu umepita kwenye Playlist yangu [emoji91]
Dahhhhhhhh aiseeeehh ahsante [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji108][emoji108]
Hapo huchomoki[emoji91][emoji91][emoji91]Humu umepita kwenye Playlist yangu [emoji91]
[emoji4]Dahhhhhhhh aiseeeehh ahsante [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji108][emoji108]
Hii watoto hawawezi sikiliza kabisa [emoji91]Hapo huchomoki[emoji91][emoji91][emoji91]
Naweza kubashiri umri wako kwa hizi nyimbo unazosikiliza mpaka sasa, sawa mzee mwenzangu weka kitu niweke kituHii watoto hawawezi sikiliza kabisa [emoji91]
Naona unapita njia yangu kabisa [emoji91] leo [emoji91][emoji91][emoji91] loh [emoji4]
Huwezi kujua umri wangu kwa sababu nampenda mziki kushinda kitu chochote kuna nyimbo huwa nasikiliza lakini nilikuwa sijazaliwa tatizo hili [emoji4]Naweza kubashiri umri wako kwa hizi nyimbo unazosikiliza mpaka sasa, sawa mzee mwenzangu weka kitu niweke kitu