Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Naona leo mmewahi kusaini,tatizo lenu mnasaini na kuondoka![]()
![]()



tatizo rough daysNaona leo mmewahi kusaini,tatizo lenu mnasaini na kuondoka![]()
![]()



tatizo rough daysMie mbona nipo jameniiiNimekuona baada ya kipindi kirefu
KhaaaMtakaolala mkiota namna ya kupata pesa mnishirikishe nami

Ulivyo mwembamba ukipew hela waweza nenepa eeehMtakaolala mkiota namna ya kupata pesa mnishirikishe nami

jje's muhimu kwanza sasa hivi anakuja nimesikia marashi yakeMsalimie jirani yako Ney, japo nakuona una spidi ya kumuwahi jje's
Pole mwaya!tatizo rough days
Asante sanaPole mwaya!
Kweli kabisa.....maana sisi tunawalinda wakiwa wanaota hizo ndoto zaoMtakaolala mkiota namna ya kupata pesa mnishirikishe nami
mango ml umemuacha wap?Mie mbona nipo jameniii
Maisha yamenifanya sugu ndugu yangu ....ukichanganya na viroba vya Nletetewa Nganengo ndo kabisa!We si mgumu hata uhisi kitu![]()
![]()
Umemisika na jje'supo weye??
Na masomo yenu mnafundisha wawili na darasa alijulikani wapi.Maisha yamenifanya sugu ndugu yangu ....ukichanganya na viroba vya Nletetewa Nganengo ndo kabisa!
Duh...nazipata mubashara kabisa. Miss you too dearUmemisika na jje's
una habari hizo?
Hapana...mie wala sio mama chanja![]()
![]()
hivi mama chanja ni nani? Wewe ama?