JamiiForums Usiku wa manane
Nadhani utashangaa siku nakuja geti la peponi malaika wananiruhusu kuingia halafu umezuiliwa. Hivi utajisikiaje?
Wala sitashangaa ila ntaandamana yaani hiyo kitu haiwezekani itabidi malaika walinzi watoe taarifa 😀
 
Kumbuka kwa Mungu hakuna maandamano wala kukata rufaa. Ukisikia umesomwa wewe na huyo unayemtete Super Villain kwamba mnakwenda kuwa kuni hakuna mjadala.
 
Sisi tukienda kwa kuni, wewe utakuwa ushageuzwa kuni yenyewe maana hata ukiwekwa motoni itakuwa ni wastage of space 😅😅
 
Ndio utaona maajabu ya Mungu. Wanafiki anawajua na wale tunaomuabudu kikweli kweli anatujua. We jidanganye tu.
 
Hivi unajua radi ya Mungu ni limitless brother..unaweza pigwa radi kwa kumdhihaki Mungu ujue 😁
 
Back
Top Bottom