Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,960
Hutaki kuachwa!
Kumbe na wewe upo aiyayayaaa
Hutaki kuachwa!
T-pain ft Wiz Khalifa & Lily Allen - 5 O'clock in the morning [emoji445]
Kwani ulifuata?Umenirejesha maktaba, asante.
Leo mchana wangu utakuwa ni usiku wangu kabisa.Pale mlinzi aionapo alfajiri [emoji276]
Kwani ulifuata?
Kwangu haishagi ladha kabisa.Hiyo ngoma ya T-Pain, good old days.
Kwangu haishagi ladha kabisa.
Ukweli unaouma [emoji91]Nimekuja kuwa kumbusha kuwa leo ni j2, kwa wakristo muende kanisani.
Ukijifanya upo bize sasa hivi usije shangaa na Mungu anakua bize kipindi pale unapomuhitaji
Bill Nass ft Roma - funga geti [emoji442]Nakubali
tugawane kidogokidogoSuper Villain njo utoe.muongozo tafadhali
Bill Nass ft Roma - funga geti [emoji442]