JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Halafu sisi binadamu tuna mambo mengi sana, utajikuta unaanza kwenda nyumbani kwa mpenzi wako kumchunguza, unamkuta na mchepuko unastuka na unafia juu kwa juu😂😂😂😂
Alafu unabaki kujijutia hukohuko ulipo, sasa sijui ni mbinguni ama wapi😂😂😂
 
Joh: 1:32

Kiswahili Injili ya Yohana sura ya kwanza, mstari wa 32
Hongera sana, kumbe huwa unasomaga Neno la Mungu eh. Nilivyokuwa nakuchukulia ndivyo ulivyo, congratulations for being such a beautiful and fearing God woman.
 
Back
Top Bottom