JamiiForums Usiku wa manane
MI niliachaga baada ya kuona zinanipeleka sehemu sio sahihi. Kiufupi nilijawa na hofu nikaamua kuacha. I was at a point of achieving the big goals in a spiritual realms

Sent using Jamii Forums mobile app
Dini nyingi zinakataza hizi mambo, sisi wakatoliki hata meditation tu ni mwiko mkali.
Kitu nina ndoto ya kukifanikisha ni astral projection aisee....yaani huwa natamani siku nione how it feels kuwa ndani astral body, sema hofu ndo bafo inanitawala. Huwa nahisi ni kama nitakufa katikati ya mchakato😂😂😂😂
 
Dini nyinngi zinakataza hizi mambo, sisi wakatoliki hata medittion tu ni mwiko mkali.
Kitu nina ndoto ya kukifanikisha ni astral projection aisee....yaani huwa natamani siku nione how it feels kuwa ndani astral body, sema hofu ndo bafo inanitawala. Huwa nahisi ni kama nitakufa katikati ya mchakato
Hii bhana mi ndo nilikuwa naitaka sana. Siwezi kusema nilifanikiwa kwasababu sikuwahi kujiona pembeni ya mwili wangu ila kusafiri spiritually nimesafiri sana. Hofu ndio iliyonifanya nikatishe haya mambo maana nikiangalia kukutana na vitu nisivyovielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii bhana mi ndo nilikuwa naitaka sana. Siwezi kusema nilifanikiwa kwasababu sikuwahi kujiona pembeni ya mwili wangu ila kusafiri spiritually nimesafiri sana. Hofu ndio iliyonifanya nikatishe haya mambo maana nikiangalia kukutana na vitu nisivyovielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu sisi binadamu tuna mambo mengi sana, utajikuta unaanza kwenda nyumbani kwa mpenzi wako kumchunguza, unamkuta na mchepuko unastuka na unafia juu kwa juu😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom