Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Miyeyusho tu tuna shindana ku refreshHahahahh chum chakavu
Wafanye kweli wakiuze iko chuma walete kinhine
Miyeyusho tu tuna shindana ku refreshHahahahh chum chakavu
Wafanye kweli wakiuze iko chuma walete kinhine
😂😂 Umetuletea janga alafu umekimbia we mzee tulitakiwa tulale saiz unajua dah.Kwema sana tu,Karibu.
Bora ningeanza kuijua Browser kabla ya App mana vilaini kwnda vigumu ni kisanga kuliko vice versa yakeLeo ndio ukongwe unadhihirisha sasa kwamba kote kote upo fit.
Wakishua mnataka app tu hamtaki vigumu kabisa 😂😂😂Bora ningeanza kuijua Browser kabla ya App mana vilaini kwnda vigumu ni kisanga kuliko vice versa yake
FBI sio 😂😂😂Undercover analala ss
Kama kuna ukoko utabaki utaniita basi mzee wangu.Mama yao kaniamsha anipikie daku,ndio nasubiria hapa! Anachagua mchele...
😆😆😆mazoea tuu kaka Hakuna ukishua hapoWakishua mnataka app tu hamtaki vigumu kabisa 😂😂😂
Hiki kipusa kama sio kisanga nipo toka saa 6 uje 😂 naona mwezi dirishani tu hapa mwisho wasiku mpaka utapotea nitakuwa sijalala mwenzio.Hahaaaaa! Janga tena....Ila tupo pamoja,usijali.
Ulizoea mkate na chai sasa leo umepewa mkavu tafuta na mate tu.😆😆😆mazoea tuu kaka Hakuna ukishua hapo
Unayumba wwFBI sio![]()
😂😂😂 Tatizo hilo mzee wangu jifanye umelala tu saiz hakawii kukuambia uwe unaongeza maji tu na kuyaangalia muda wote.Poa usijali,hivi huyu yupo serious kweli Kainjika maharage saa hizi...
Tayari mzigo imewaka nimerud kwetu hahahUlizoea mkate na chai sasa leo umepewa mkavu tafuta na mate tu.
Haya kuwa na sisi usije ukawa na maharage lakini.Leo pamoja,sitoki hapa!
Unatamba sio 😂😂
Wahi sana mzigo naubanduaaaUnatamba sio![]()