fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,685
- 24,004
Ukiona watu wanaongelea chakula muda flani jua mmoja wao ana njaa😂😂Yakuchoma tena
Aisee viazi lishe vya njano![]()
Ukiona watu wanaongelea chakula muda flani jua mmoja wao ana njaa😂😂Yakuchoma tena
Aisee viazi lishe vya njano![]()
Nikistuka tuu Bahati mbaya imeisha io hadi mornie io sijui Nitumie mitishamba gani🤒Aah balaa lako zito ww sikuwezi![]()
Gimbi ni gimbi viazi ni viazi au nimeruka kurasaYakuchoma tena
Aisee viazi lishe vya njano![]()
Ukiona watu wanaongelea chakula muda flani jua mmoja wao ana njaa![]()

food is life bwana ww wacha tu tuongeleeeMara moja moja sio mbaya
Ila gimbi naskia ni aina ya kiaziGimbi ni gimbi viazi ni viazi au nimeruka kurasa

Hahaha haya bhana😀😀food is life bwana ww wacha tu tuongeleee
doh!.,madamIla gimbi naskia ni aina ya kiazi
Mm sijaelew ndo maana![]()
Nikistuka tuu Bahati mbaya imeisha io hadi mornie io sijui Nitumie mitishamba gani![]()

miti shamba tena umenikumbusha mbali wakati niko school mwanangu mmoja mitishamba alikuwa akiita miziziology 

Mkuu! Uko Sawa?0218
Well you only need the light when it's burning low
Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go
Only know you've been high when you're feeling low
Only hate the road when you're missing home
Only know you love her when you let her go
And you let her go.
Jamani
Tupende watu wetu
Tupende kazi zetu
Tupende nchi yetu
99% sawa kabisa.Mkuu! Uko Sawa?
Passenger0218
Well you only need the light when it's burning low
Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go
Only know you've been high when you're feeling low
Only hate the road when you're missing home
Only know you love her when you let her go
And you let her go.
Jamani
Tupende watu wetu
Tupende kazi zetu
Tupende nchi yetu

99% sawa kabisa.
hiyo 1% ni sababu ya changamoto za corona

Kweli noma na nusu.Mkuu upo vizuri hatariPassenger![]()
Hatari Sana uyo Mjomba, mida hii Ndo mizuri kula ndugu A. K. A kujifukizamiti shamba tena umenikumbusha mbali wakati niko school mwanangu mmoja mitishamba alikuwa akiita miziziology
![]()
Kidogo tu mzee wangu sio sana.Mkuu upo vizuri hatari
I know nmemaanisha i prefer kiazi lishe over gimbidoh!.,madam
Yawezekana ila halina mfanano na kiasi lishe
Nikajua umeshatoa kibuti sasa unajutia99% sawa kabisa.
hiyo 1% ni sababu ya changamoto za corona