JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Dah...ziko sababu kadha wa kadha..za kitaalaam...
1. Mbwa wanauwezo wa kusikia sauti ndogo sana kuliko binadamu ...hivyo kwa sababu kazi yao ni ulinzi ndiyo maana hubweka kila wasikiapo hizo sauti ambazo wewe husikii...
2. Hubweka pia waonapo viumbe wengine...paka...mjusi...panya hata mende..
3. Hujiona wapweke wakiwa nje peke yao...hivyo hubweka ili kupata attention ya binadamu...
4. Huwa wanakuwa bored hivyo hubweka kujifurahisha...
5. Huwa wanapiga stori na mbwa wengine walio mbali...hii hubweka kwa mtindo tofauti wa kimajibizano..
6. [emoji2960]

Sent using Beretta ARX160
[emoji38][emoji38]shukran
 
Inategemea na mbwa wanalia mlio wa aina gani.
Chunguza.. kuna sometimes wanabweka as wakiona kitu ambacho si sahihi mahala hapo so wanabweka ili kuvuta/ kumshtua binadamu aliyekaribu ajue kinachoendelea.
Pia mbwa hunung'unika pale anapoona viumbe vya kiroho kama majini. Hii Mara nyingi kutokea kila azana Ikiwa inaendelea. Chunguza kipindi hiki cha ramadhani
Eeh shukran kumbe hua wanamaana
 
Back
Top Bottom