fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,876
- 24,484
Ulinzi popote. That's good of youNalinda chattle huku ,huo utoro vipi ?
Ulinzi popote. That's good of youNalinda chattle huku ,huo utoro vipi ?
Mitimingi eti kafariki? Nimeona mtu kapost alfajiri hii jamani.Issa ndio anakuumiza?? Mlete hapa jukwaani tumfunde. Nasikiliza video clip ya Mitiimingi dah acha apendwe na Wadada
Yes, ametangulia kwa muumbaMitimingi eti kafariki? Nimeona mtu kapost alfajiri eeh jamani.
Issa( is a ) yale yale ya kina gotta ( got to)
Mitimingi eti kafariki? Nimeona mtu kapost alfajiri hii jamani.
Issa( is a ) yale yale ya kina gotta ( got to)
Ndio naniYes, ametangulia kwa muumba
Mapema sana Jana usikuMitimingi eti kafariki? Nimeona mtu kapost alfajiri hii jamani.
Issa( is a ) yale yale ya kina gotta ( got to)
Dah niko Mbeya bado aiseeeeKuna mlinzi yoyote tukutane chattle hapa pembeni ya Crdb tunywe supu
Mchungaji yule anayeongeleaga Sana maswala ya mahusiano.Ndio nani
Aisee in next week I will be there. Vipi baridi limeshachanganya?Dah niko Mbeya bado aiseeee
Kipenzi cha WamamaNdio nani
Karibu Sana Bro, baridi kimtindo tunavumiliaAisee in next week I will be there. Vipi baridi limeshachanganya?
Chattle hapaingiliki sasa hivi. Mlio huko endeleeni kudumisha Ulinzi wa huko hukoKuna mlinzi yoyote tukutane chattle hapa pembeni ya Crdb tunywe supu
Fyddell ...In here you got somebody's intention, you're somebody's favorite. Use your tools
Huyu jamaa he is too delicate. Hatakiwi kukumbana na kashikashi za maisha. Atakufa kwa pressure tusipokuwa makini. Jitahidi kumpa Counselling ili ajue namna ya kuishi na wabongo.Ah we nae jau
Kila siku una sababu halafu ukute ni mambo ya hali ya chini tu
Relax men
Baridi huko ni kawaida alafu mi ndo nalifeel sana.Karibu Sana Bro, baridi kimtindo tunavumilia
Hahahaha, mbn muapishwa kaingia na kutokaChattle hapaingiliki sasa hivi. Mlio huko endeleeni kudumisha Ulinzi wa huko huko
Ndio maisha yalivyo mzeeAcha tu havielezeki acha nikaushe tu [emoji41]
Nimeshaizoe sasa, silali hata na nguo aiseBaridi huko ni kawaida alafu mi ndo nalifeel sana.