Shukrani sana ila mbona unatukimbia ilhali ulinzi ndio umeanza kushika hatamu simiss?Super Villain Goddess Weylyn Drizzle Elli Mshana mama D Mjep Depal Rowin Saint Anne Equation x Next Man Mnazareth na wengine wote..
niwatakie lindo jema wakuu
Wamekufutia/wamekuhamishia uzi au wamekukosa kosa na ban? Pole [emoji16][emoji16][emoji16]Mods mlichonifanyia leo roho imeniuma kweli kweli ila fresh tu, ngoja nishinde huku chit chat labda ndicho mnachotaka.
Mambo!Jason deluro ft Nick minaj....Goodbye [emoji445][emoji445]
Karibuni tuburudike.
Poa
Panda twende
Muachie sasa huyo uliyemshika kwa avatar nipande.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Panda twende
Nishamuachilia ..haya tayari kwa kuondoka?Muachie sasa huyo uliyemshika kwa avatar nipande.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha tayari nimeshajishikilia ondoa chombo.Nishamuachilia ..haya tayari kwa kuondoka?
Nishikilie vizuri..hii speed si ya kitoto
Hapa nilivyojishikilia tukimwagika basi tunaangukia pamoja bila shida.Nishikilie vizuri..hii speed si ya kitoto
Huko kwenu
Mbona kwetu kumoja na ww sema hujui tuHuko kwenu
Kwetu haya speed ivyo
Nawewe waishi madongo kuinama?