JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu, daku muda sio mrefu nafinyaa! Kuhusu PM wew kumbe ni mzoefu wa kusumbua wadada , hahahaha
Kwenda mara moja moja sio dhambi mkuu wala usiwe muoga huo ndo uanaume sema sio kwenda kujitutumua ukiongea nao logic a facts za msingi wala hamuwezi kupishana ila ukianza sijui nina lori 7 za mafuta n.k basi kitakachofuata ni mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
20200425_193206.jpg
 
Ambao hamjalala naombeni nieaulize swali

KWANN MBWA WANALIA SANA USIKU
Yani ni makelele
Dah...ziko sababu kadha wa kadha..za kitaalaam...
1. Mbwa wanauwezo wa kusikia sauti ndogo sana kuliko binadamu ...hivyo kwa sababu kazi yao ni ulinzi ndiyo maana hubweka kila wasikiapo hizo sauti ambazo wewe husikii...
2. Hubweka pia waonapo viumbe wengine...paka...mjusi...panya hata mende..
3. Hujiona wapweke wakiwa nje peke yao...hivyo hubweka ili kupata attention ya binadamu...
4. Huwa wanakuwa bored hivyo hubweka kujifurahisha...
5. Huwa wanapiga stori na mbwa wengine walio mbali...hii hubweka kwa mtindo tofauti wa kimajibizano..
6. [emoji2960]

Sent using Beretta ARX160
 
Back
Top Bottom