1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 794
- 1,933
06:22
Ni masikitiko.Inasikitisha sana wakuu 😂
😅😅 mi ilitokea tu bahati mbaya sikua na namna 😎
😅😅😅😅 nimependa hapo mwisho🤣🤣🤣 Babeeeki win Huwa anajiamulia mambo..Umukari wa hene
😅😅 ndio tajiri usishangae sana mda hautoshi@win-one nae yupo Martenity? Huyu huyu kamanda wetu
mtoto ndo alikua na pilika sio mimi😄😄😄 mara anataka nimpeleke Sheri akavute harufu ya petrol yan ni taflaniKama win kaleta mgeni basi nimemvulia kofia!
Alikua na pilika nyingi mwishoni mwa safari
😅😅😅 kilikua kisabengo cha mimba bwanMara sijui naenda kwenye birthday, mara sijui nimeinjoy,yan ni utapeli mtupu kumbe mimba inamsumbua
Kama mtoto ni wa kiume napendekeza aitwe "Mshamba" kama anko yake.Tajiri wa goba mwambie homeG akupe ramani ya namna ya kunifikia uniletee hizo pon pon na blanket la mtoto kwa ajili ya elnino maelezo mengine nitayatolea huku☺️☺️
hapan siwezi kumuita mwanangu jina ambalo litamtesa baadaeKama mtoto ni wa kiume napendekeza aitwe "Mshamba" kama anko yake.
Ten respeto por mi esposahehee, mguu pande, mguu sawa, ukizubaa tu inaingia.🤣
Utaniua mama.
Imeisha hiyo mtu wangu,najua home g atanipa address chap tu pande hizoTajiri wa goba mwambie homeG akupe ramani ya namna ya kunifikia uniletee hizo pon pon na blanket la mtoto kwa ajili ya elnino maelezo mengine nitayatolea huku☺️☺️
Ila nimelia sana aisee mwenetu😅😅 ndio tajiri usishangae sana mda hautoshi
Kwani baba yake boda boda mwenetumtoto ndo alikua na pilika sio mimi😄😄😄 mara anataka nimpeleke Sheri akavute harufu ya petrol yan ni taflani
ni miongoni mwa wale wasio julikana 😪Kwani baba yake boda boda mwenetu