Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Shukrani sanaNimeshafunga Mkuu
Shukrani sanaNimeshafunga Mkuu
Nitakuja kukusaidia mlinzi mrembo mlainiLigumu lile siliwezi
Hahahaha, No comments ktk hili , ila mvumilivu hula.....Chezea uteuzi wewe. Ina maana mzee ameishiwa watu nini maana si kwa kuziduria man power zilezile alizozikashifu na kuzitolea sababu za kuzitengua.
Twende wote. Nilijua tu utaogopa halafu unasingizia ligumuLigumu lile siliwezi
Hahahaha karibu sanaNitakaribia siku moja kaka Muumini
Hapa sasa ana uwakika wakuwa na nguvu ya kusimama kidete jimboni kujitete maana lilishaanza kunyemelewa na mteule mwingine wa mzee😂😂Hahahaha, No comments ktk hili , ila mvumilivu hula.....
Hahahaha, hii kesi maliza mwenyewe MkuuAliyenichukulia binduki yangu anirudishie namwambia nini sasa mkuu wa kituo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Lindo limefungwa mkuu. Kapambane na mkuu wako wa kituo. Ulitoroka lindo kwenda kimboka sio? 🤣🤣🤣Aliyenichukulia binduki yangu anirudishie namwambia nini sasa mkuu wa kituo??
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂Aliyenichukulia binduki yangu anirudishie namwambia nini sasa mkuu wa kituo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa sana kupoteza siraha lindoni. Utatufanya wenzako tusiende kupumzika sasaAliyenichukulia binduki yangu anirudishie namwambia nini sasa mkuu wa kituo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, tena anasema kabisa Mzee ana Iman na mm ,nichagueni tenaHapa sasa ana uwakika wakuwa na nguvu ya kusimama kidete jimboni kujitete maana lilishaanza kunyemelewa na mteule mwingine wa mzee[emoji23][emoji23]
Ayiiii teh! teh!Lindo limefungwa mkuu. Kapambane na mkuu wako wa kituo. Ulitoroka lindo kwenda kimboka sio? 🤣🤣🤣
😀😀😀Hahahaha, tena anasema kabisa Mzee ana Iman na mm ,nichagueni tena
Lazima aswekwe lock up. Huku upelelezi ukiendelea.Kosa kubwa sana kupoteza siraha lindoni. Utatufanya wenzako tusiende kupumzika sasa
Usijali mama nishafunga upande wako. Mtoto wa kike haitaji shurba ati.Ahsante Drizzle 🤗
Analeta utani kazini huyu mzee babaAyiiii teh! teh!