fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,876
- 24,485
Walinzi wamegoma kuondoka leo 😂😂Nipo hapa mkuu kama kawaida nazengea zengea nilitie kufuli la chuma
Walinzi wamegoma kuondoka leo 😂😂Nipo hapa mkuu kama kawaida nazengea zengea nilitie kufuli la chuma
Nitakaribia siku moja kaka MuuminiHahahaha, vwawa eneo huko songwe ,mie ni mlei Kanisa la St Martha Mikocheni B ,karibu
Ulinifanya nicheke kidogo😉Hahaha dah! Ahsante Fyd
Wamenogewa mzeeWalinzi wamegoma kuondoka leo 😂😂
Itabidi uwaongezee majukumuWamenogewa mzee
Kisa? Kumix files au nimekurudisha church mtoto wa Yesu?Ulinifanya nicheke kidogo😉
Umenikumbusha kitambo sana mafundisho ya komunio na kipaimara na uministrant/utumishi madhabahuni parokia ya Magomeni alafu baadae Mwananyamala.Kisa? Kumix files au nimekurudisha church mtoto wa Yesu?
What makes you smile then? 😉😀😀😀😀😀
Keep good memories alive 😉Umenikumbusha kitambo sana mafundisho ya komunio na kipaimara na uministrant/utumishi madhabahuni parokia ya Magomeni alafu baadae Mwananyamala.
Nishagawa majukumu mkuuItabidi uwaongezee majukumu
Yes sirKwa kuwa tupo wanne leo ninashauri Depal Funga lango la mashariki, Elli Mshana kaskazini, fyddell kusini nami nitakomaa na lango la magharibi. Mgawanyo wa kazi
Naona jinsi ambavyo hamtaki kuondoka leoWhat makes you smile then? 😉
😀😀😀😀😀Unanisahau vipi na niko hapa!!
The only thing to fear is fear itself
Nimeshafunga MkuuKwa kuwa tupo wanne leo ninashauri Depal Funga lango la mashariki, Elli Mshana kaskazini, fyddell kusini nami nitakomaa na lango la magharibi. Mgawanyo wa kazi
Ligumu lile siliweziKwa kuwa tupo wanne leo ninashauri Depal Funga lango la mashariki, Elli Mshana kaskazini, fyddell kusini nami nitakomaa na lango la magharibi. Mgawanyo wa kazi
Muda wa kuingia kwenye majukumu mengine haujafika. Tunavuta madakikaNaona jinsi ambavyo hamtaki kuondoka leo