JamiiForums Usiku wa manane
Nimeona kaka angu anamisiwa sana humu nikasema lazima nione anayrmmisi ni nani na kwa mpango upi
Ndio kusudi la kuniona hadi sasa
After all nimeota nikashtuka
hahahah ndo maana kaka mwenyewe anasema ndoto za j5 na alhamisi zina ulakini...nashindwa kuelewa kwanini haziamini wakati zimethibitisha ulichokuwa unakiota kuwa ni kweli
 
Back
Top Bottom